Diamond Platnumz ashinda tuzo ya MTV European 2023

Diamond Platnumz ashinda tuzo ya MTV European 2023

Diamond Platnumz ashinda tuzo ya MTV European 2023

 Msanii wa kutoka Tanzania,

 Naseeb Abdul Issack, anayejulikana 

kwa jina la usanii kama Diamond Platnumz ameshinda Tuzo ya Mmwimbaji Bora wa Afrika kwenye

 Tuzo za Muziki za Ulaya za MTV (EMAs 2023).

 Ndiye Msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu za MTV EMA. katika kitengo hicho

 Diamond aliwahsinda wasanii Asake, Burna Boy ,Libianca na Tyler ICU.

 Diamond Platnumz aliwahi kushinda tuzo mbili za Msanii Bora wa Afrika na wimbo Bora Duniani (Afrika/India) kwa usiku mmoja kwenye MTV EMA 2015. 

Pia ndiye msanii wa kwanza barani Afrika kufikisha maoni milioni 900 kwenye YouTube.

 Hii hapa orodha ya washindi wa tuzo nyingine za MTV EMA

Diamond Platnumz ashinda tuzo ya MTV European 2023

Diamond Platnumz ashinda tuzo ya MTV European 2023

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال