AUDIO | Phina - Sisi Ni Wale | Download

AUDIO | Phina - Sisi Ni Wale | Download

AUDIO | Phina - Sisi Ni Wale | Download


 Phina is a talented female artist from Tanzania known for her hit song "Sisi Ni Wale." Her music is a captivating blend of Bongo Flava and Afrobeat, and she has gained recognition for her soulful vocals and meaningful lyrics.



Lyrics Song

SISI NI WALE 

The melanin queen.. 


Chorus:- 

Sisi ni wale 

tuliosaidiwa na Mungu 

Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba

 Sisi ni wale tuliosaidiwa , 

ah na Mungu 

Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba


Verse1 

Sina hela, sina pesa ,

sina doh Sina nyumba, 

sina gari, 

sina ooh Kila kukikucha

 mi naiwaza kesho Napiga moyo konde

 nitafika ooh Wanaokudharau leo,

 watakusalimiea kesho 

(Kwa heshima) 

Wanaokusema sema, 

watakusifia kesho 

Unaokula nao Na kucheka nao

 (oh) Kesho ukidondoka 

Hutokua nao 

Piga moyo konde 

Wakati wa Mungu

 Wakati sahihi hi hi 

Piga moyo konde 

Wakati wa baba 

Wakati sahihi hi hi 


Chorus:- 

(Sisi ni wale)

 Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu

 Sisi ndo wale 

tuliobarikiwa na baba 

Sisi ni wale tuliosaidiwa , 

ah na Mungu Sisi ndo wale

 tuliobarikiwa na baba 


Verse 2

 Jana niliumwa

 Nikadhani nitakufa Leo 

niko fiti ukinicheki 

Nadundika

 Nilipoachishwa kazi 

Walidhani nitasota Leo 

nipo juu ile kibosi Nadundika 

Kama unaamini 

Umesaidiwa na Mungu 

Piga kelele, 

kelele moja (eh) 

Kelele mbili

 (eh, eh) (Eh, eh) 

Kama unaamini 

umesaidiwa na Mungu 

eeh Piga kelele, 

kelele moja (eh) 

Kelele mbili (eh, eh) (Eh, eh) 


Chorus:- 

Sisi ni wale 

tuliosaidiwa na Mungu 

Sisi ndo wale

 tuliobarikiwa na baba 

Sisi ni wale tuliosaidiwa , 

ah na Mungu 

Sisi ndo wale 

tuliobarikiwa na baba 


More Lyrics from Phina Songs


  • AUDIO | Phina – Sponsor | Download
  • AUDIO | Phina – Do salale | Download



Previous Post Next Post

نموذج الاتصال